Tabia za Paka na mbwa kwenye magari

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
Umeshawahi kujiuliza maswali kwa hawa wanyama tuwafugao pindi tu gari inapopaki huamka na kulifata gari?

Paka - Kwa nini paka hupenda kunusanusa bumpers au mudguards na kwenye bomba moshi?

Mbwa - Hupenda kukojolea taili

Hivi ni kwa nini?
 
Kuna maana kubwa sana basi tu hatujui
Paka kunusanusa ni kutafuta kama kuna cha ziada kibaya kimerudi na gari... Akigundua chochote atasumbua mpaka ujue
Mbwa naturally ni mlinzi hivyo kukojolea gari ni kuweka kinga na alama ya kuja kufanya round shift ya ulinzi baadae
 
Naam Father kasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…