Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maana kubwa sana basi tu hatujuiUmeshawahi kujiuliza maswali kwa hawa wanyama tuwafugao pindi tu gari inapopaki huamka na kulifata gari?
Paka - Kwa nini paka hupenda kunusanusa bumpers au mudguards na kwenye bomba moshi?
Mbwa - Hupenda kukojolea taili
Hivi ni kwa nini?
Jitahidi ujueMh sijui
Kuna maana kubwa sana basi tu hatujui
Paka kunusanusa ni kutafuta kama kuna cha ziada kibaya kimerudi na gari... Akigundua chochote atasumbua mpaka ujue
Mbwa naturally ni mlinzi hivyo kukojolea gari ni kuweka kinga na alama ya kuja kufanya round shift ya ulinzi baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa. LohWanatamani kuwa magari sema ndo hivyo tu
Wanatamani kuwa magari sema ndo hivyo tu
Vipi kwani mkuu ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa. Loh
Yaani paka na mbwa watamani kumiliki magari?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa. Loh
Yaani paka na mbwa watamani kumiliki magari?