C upite kimya kimya sasa! wengine 2po bungeni utamsumbua spika kw kelele zako.I see me napita tu sijui hata nilikuwa natafuta nini...
LMAO!Kumbe hii inafanywa na wengi!Nlijua wachache!Hahahahahaha!Kuna jamaa yangu alikuwa anaongea na demu kwenye simu ila siku wanaenda kukutana kimacho na kimwili alijificha kwanza amdhaminishe alivyomuona halipi akala kona na simu akazima!
Nimeshawala Dada zako kama wa 3 hivi kwa style hiii
Hivi kumbe sikujua .. duhhhhhKwahiyo kila kila kikuvunjacho moyoTutakiita "kubakwa"Mmhh mi nlizani kubakwa ni pale Unapolazimishwa kufanta (tendo la ndoa) "SEX" bila Hidhini ya mtu..
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.
Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
Hivi utabakwaje kwenye simu.
Unakuta mwanaume humjui anakutongoza kwenye simu unakubali hivi hii ni akili kweli.
Halafu unakuja kubakwa hivi utamlaumu nani.
sasa mpendwa mbona kichwa cha habari kinakuwa tofauti na maudhui?manake kutongozwa sio tatizo,bali kutongozeka. btn, sijui kwa nn watu tumekuwa desperate namna hi kuhusu mmu (wote,hata wakaka siku hizi wanalia lia eti 'i am 30 and single!'
kumbe una haka katabia ka kula wengi ndio maana umetuma thread unhisi mpenzi wako kajiunga JF kimbe unaogopa atagundua maovu yakoNimeshawala Dada zako kama wa 3 hivi kwa style hiii
Usiogope sina mapembe mpenzi na wala sili watu ila ukikaa fresh nakutafuna bila kusikia maumivu
Utamkubaliaje stranger kweli Kazi mnayo wanawake!!