Tabia za wadada wa Dar

Tabia za wadada wa Dar

Hawa wadada ni shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidah!
 
Una uhakika ujumbe wako umemfikia muhusika?!
 
Zamani mtu akiolewa humskii kama week hivi au mwezi ana honey munika. Sikuhizi harusi leo kesho ndio wa kwanza kuamka kabla yako unakutana mapicha Instagram.

Yaani usiku wa honeymoon, saa kumi na moja kesha amka...na ma post yake ...."thank you lord", "mashosti sina cha kuwalipa", "hes besides me now", "my hubby is handsome than yours", "man on top" etc

Hivi kwenye kitchen party ndivyo mnavyofundishwa?

Dada ajifungue sasa, labour katoka saa moja asubuhi saa sita mchana picha ya mtoto ipo insta kitamboooooo.

Ni hayo tu,
Ninimeipenda ukweli tupu inanikera
 

Attachments

  • 1460318243722.jpg
    1460318243722.jpg
    21.2 KB · Views: 33
Back
Top Bottom