Habari ndugu!
Kuna baadhi ya wanaume ndani ya ndoa huamua kumwendeleza kielimu/kumsomesha mke wake katika ngazi mbalimbali ili wasaidiane baadae kupambana na maisha!
Lakini tabia za hao wake za watu waliowengi wafikapo chuoni kwakweli tabia zao zinasikitisha na kukatisha tamaa!
Ilitazamiwa mtu mzima ambaye ni mke Wa mtu afikapo chuoni awe mfano bora Kwa mabinti wadogo kwa kuwashauri kujistili na tabia njema lakini cha kusikitisha wadogo ndiyo wamegeuka walimu wao katika kuwaharibu tabia.
Mke Wa mtu anatoka mkoani na tabia safi, mavazi mazuri lakini anapoanza chuo anageuka kahaba, hamnyimi mtu, anavaa vimini utafikiri baamedi, haachi kuruka viwanja na wengine pasipo aibu huvua Pete na kuishi kinyumba na mabwana mjini ili hali huko kijijini wameacha familia zao!
Wengine wakinogewa zaidi hulazimisha kuvunja ndoa zao ili aolewe!
========
Wake za watu waoneeni huruma waume zetu.
Na nyie wanaume wenzagu mnaosomesha, Acheni ubwege Wa kupitiliza! Wewe mkeo anaenda chuo na unatambua fika mkeo mashallah lakini hufuatilii amefikia wapi,analala wapi, anakula nini! Hufuatili nyendo zake chuoni kwakweli nanyinyi mnachangia sana wake zenu watafunwe!
LAKINI UKWELI WAKE ZA WATU WANATAFNWA KILAINI SANA HUKO VYUONI HADI AIBU!
*****************
Kuna jamaa angu alishachanganyikiwa kisa alimtembelea mkewe hosteli akakuta anatafunwa!
Badilikeni ndugu zangu !