Tabia za wake za watu vyuoni kwakweli zinanikatisha tamaa badilikeni jamani

umalaya upo kwa wote. wasiosoma malaya, wanaosoma malaya, wawe waume au wanawake.....kifupi umetazama chuo tu. hata kwenye biashara, kazini, safarini, harusini, kanisani, makongamanoni, hospitali manesi na madaktari hufanyana sana....kifupi binadamu ni kama wanyama hasa nyani au mbwa.....hutiana popote ila sema ndoa ni kuweka utaratibu wa kuishi kijamaa tu
 
sio wanawake tu. hata waume za watu. wanaongoza kwa umalaya vyuoni.
Hakuna mwanaume Malaya Mkuu! Ndio maana mwanamke akikutwa na mtu tunasema "amefumaniwa" ila mwanaume tunasema "amekutwa"

Kumbuka mwanaume anafanya!!!!!
Mwanamke anafanywa!!!!
 
umenikumbusha dada mmoja alikuwa PSPA miaka ile pale UDSM asee alitafunwa karibia na maprofesa na ma-dr wote wa international relations... na hivi alikuwa na tushepu tuzuri basi ndio kabisaaaa
ilikuwa ni checheeeeee
 
Ni wapuuzi sana wakifika chuo wanaona mahali pakufanya upuuzi
 
Na asilimia kubwa pia wanagongwa na waume za watu,kwa hyo wanawake pia wanakutwa na kadhia hii
 
daaahhh hiii comment noma...ninyeupe kama Sufi...aiseeeeeee
 
Duniani watu wote hatuwezi fanana maisha mkuu, watu kama hao lazima wawepo tu na kuna wengine pia wanajiheshimu so usijistress mkuu waache wapambane na hali zao na waume zao.
Wanawake mwalimu wao mmoja, ukinibishia nitajua tu hujaoa. Mwanamke pekee anayeweza asikuumize kichwa ni mamaako (hapa muondoe mama _____ ambaye inasemekana anabanduliwa na vijana)
 
hahaha Mungu anakataa zinaa
 
na vijana wa siku izi mshipa wa aibu hawana kabisaaaaaaaaa.....
kijana ana 20yrs anamkula mmama wa 35yrs bila hiyana na anampa dozi ya hatari mpaka mmama anauliza umepata wapi ujasiri wa kunichungulia na kunipa dozi kamili kama hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Msisahau wake zenu watarajiwa mlioko nao vyuoni au wako sekondari wanatafunwa na vibabu na waume za watu mtaani! Haya mambo ni cycle tu! Usipate stress pambana na hali yako
 
Hakuna mke wa mtu ila kuna mke wa watu. Usidhani hawajui wanajua sana ila wanakaa kimya kwa kuogopa kuvunja ndoa.
 
Ni kweli kabisa, cjui ni utandawazi au ni nini. Mungu atusaidie sana kwa kweli
 
Mimi nalia kwa sababu wa kwangu nilimchukulia fomu ya chuo kwa hela yangu na ndio ikawa tiketi ya kuniacha, yaani maumivu yake usipime na vile unakuwa na ndoto ya kujenga familia bora na yeye, yaani kwa hasira nimeoa formfour na cheti cha records, maisha yanasonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…