Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

  • Maji ukiyavulia nguo, sharti uyaoge!

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    7
  • Poll closed .

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
 
Si aishi naye atajua, kwani wote ni wa baba mmoja na mama mmoja na hata wangekuwa ivo wasingefanana tabia
 
Yeah wapo wengine very understanding lkn wengi wao ni wajuaji sn na ukiwa mpole atakupelekesha
Nna mshkaji wangu anaoa kabla ya mwaka huu kuisha na ye kaangukia kwa mwanasheria..jamaa anapelekwa puta mpaka noma na hata hiyo harusi ni command ya huyo binti
 
Hivi taaluma inaathiri tabia ya mtu? Kwamba akiwa mwanasheria lazima awe mtata au akiwa mwalimu ni mstaarabu sana?
Wengi wao ni wanyanyasaji sana wakiitumia sharia kama fimbo wengi wao hawajaolewa
 
Hivi taaluma inaathiri tabia ya mtu? Kwamba akiwa mwanasheria lazima awe mtata au akiwa mwalimu ni mstaarabu sana?

Mimi observation yangu, ukifanya kazi kwenye mazingira flani yanakushape tabia yako, ukiwa padri unakuwa mnyenyekevu( ingawa sio wote), ukiwa mwanasheria inabidi uwe ngangari( ingawa sio wote). Wanasheria ile tabia ya kuangalia facts zaidi inawashape tabia, ukiwa na demu mwanasheria hawezi kukubali kitu bila kuuliza( kama cha Kiboya). Kwa hiyo Passenger beware.
 
Wabishi na wajuaji..hasa mastate attorney....wakiwa na watu ambao hawajui sheria wanajifanya superior ila wakiwa na watu kama sisi wanakua inferior sana.

Inshort AVOID hawa wanaoitwa MAWAKILI WA SERIKALI hakuna mwanamke pale....wajuaji afu watupu kichwani...

I dont recommend them especially wale waliokua singo muda mrefu..wana upweke fulani
 
Back
Top Bottom