Nimemshindwa mmoja pamoja na kuzaa naye...ni wajuaji wabishi mno....ila kuna exceptionalWengi wao ni very difficult kuishi nao wanajifanya wajuaji kila kitu anataka kuleta arguements,mm nmeshakuwa na mpnz mwanasheria nilimpiga makofi bar na nikamwambia nisikuone tena
Nimemshindwa mmoja pamoja na kuzaa naye...ni wajuaji wabishi mno....ila kuna exceptional
Nna mshkaji wangu anaoa kabla ya mwaka huu kuisha na ye kaangukia kwa mwanasheria..jamaa anapelekwa puta mpaka noma na hata hiyo harusi ni command ya huyo bintiYeah wapo wengine very understanding lkn wengi wao ni wajuaji sn na ukiwa mpole atakupelekesha
Juzi nimemsikia masanja anasema wanaume mnapenda wanawake wasiojua kitu.Huwa napenda mwanamke anayeleta changamoto
Binafsi napenda mwanamke ambaye tukiwa tunajadiliana anakielewa ninachokizungumza na ninakielewa anachokizungumza mwisho wa siku inatoka kauli moja yenye ubora,Juzi nimemsikia masanja anasema wanaume mnapenda wanawake wasiojua kitu.
Safii.Binafsi napenda mwanamke ambaye tukiwa tunajadiliana anakielewa ninachokizungumza na ninakielewa anachokizungumza mwisho wa siku inatoka kauli moja yenye ubora,
Wengi wao ni wanyanyasaji sana wakiitumia sharia kama fimbo wengi wao hawajaolewaHivi taaluma inaathiri tabia ya mtu? Kwamba akiwa mwanasheria lazima awe mtata au akiwa mwalimu ni mstaarabu sana?
Hivi taaluma inaathiri tabia ya mtu? Kwamba akiwa mwanasheria lazima awe mtata au akiwa mwalimu ni mstaarabu sana?