hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja alikuwa anasoma gazeti ghafla akashtuka!namuuliza vipi??eti hili jikaratasi la gazeti limenchoma kidoleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika nimecheka laaahKuna mmoja alikuwa anasoma gazeti ghafla akashtuka!namuuliza vipi??eti hili jikaratasi la gazeti limenchoma kidoleni
na hiv vimvua et kuruka kimtaro tu mpaka wabebane kaah!!!
Juzi kuna mwanaume wa dar alikua anauliza humu jf chachandu za kiume atapata wapi hapo dar mkuu.mtu wa mkoani analala anawaza wanaume wa dar
watu wa mikoani mvua hizi mkaandae mashamba
Wanaume wa mkoani huku tunajiangalizia kwny maji yaliyotulia kwny beseni sio kugombania dressing table na wake/dada zetu.Hahah! kasoro hizo tabia ila kujiangalia kwenye kioo sioni kama ni mbaya
Nakuona mwanamke wa mikoaninakuona mwanaume wa dar
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii kali mkuuWanaume wa mkoani huku tunajiangalizia kwny maji yaliyotulia kwny beseni sio kugombania dressing table na wake/dada zetu.
Hahah ndo mambo ya mkoani huku mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hii kali mkuu
Hahah sawa sawa bossHahah ndo mambo ya mkoani huku mkuu.
Wanaume wa dar-ufafanuzi wake ni tabia za wanaume wanaoishi mkoa wa Dar Es Salaam.ufupisho wake umekuja "kimkakati"wa kupunguza herufi kutoka kwenye jina la mkoa huo.wamechukua Dar na kisha wakaziondoa hizi herufi "Es Salaam"wakabaki na herufi "DAR"hata ukiangalia kwa haraka haraka tyu huu ufupisho ulianzia kwao huko huko kwa uvivu wa kutamka maneno,kitabia wanaume wa dar n wavivu kuanzia kula mpaka "kutita".ila ungeandika wanaume wa mikoani wakija kuishi dar wanakuwa wanaume wa Dar mara mbili ya wale walioko dar kidogo ningekuelewa.ila huku tabora ama huku simiyu ama huku dodoma ama huku mbeya ama irunga "wanaume wa dar"ni marufuku mnao huko huko hasa manzese,kinondoni,mikocheni na kwingineko kwingi katika mji huo.hata idadi ya wanaume"mashoga kwa mkoa huo n kubwa sana ukilinganisha na mikoani"kama mtoa mada alivyokuwa analizungumzia hili la "ubaba"kuwa "mijibaba"UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar[emoji85]
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar[emoji125]♂[emoji125]♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar[emoji32]
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji12]
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar[emoji4][emoji4]
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol [emoji3][emoji3] wewe ni wa Jiji la Makonda[emoji3][emoji3]
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi[emoji15]
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji35][emoji35]
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji41][emoji41]
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji850][emoji4]
Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani[emoji35]
na vipi wacheza biko-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.
Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....
Nakusalimia mkuu......[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwahiyo hawawezi kuvunja biskut hadi waloweke kwenye chai??
Hahahaha.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Yap hata kutoa pattern ya simu wanaomba msaada hawa jamaa mlenda mlenda
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatulNakusalimia mkuu......[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kuna mmoja aliwahi kuuwa panya, yaani baada ya tukio like huyoo kakimbilia Jf kuanzisha Uzi eti kwa jinsi alivyo pambana na panya buku ndani...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]wanaogopa hadi mende