Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

Hata wanaume wa Morogoro nao wana tabia hizi juzi nimewakuta wanakula mahindi ya kuchoma huku wanayapaka chumvi pilipili na limao
Wameanza kuwaambukiza tutawapiga marufuku kusogea moro
 
-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.

Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....
Umesahau la kuweka vidole juu wakiwa wanaongea
 
Kuna mmoja alikuwa anasoma gazeti ghafla akashtuka!namuuliza vipi??eti hili jikaratasi la gazeti limenchoma kidoleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari man
 
Wanaume waikoani mna hitaji maombi, kama thread zenu kila uchwao ndio hizi hizi tu
 
-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.

Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....
kwa kweli waache tabia hizo
 
Kuzaliwa mwanaume kamili mwenye elements zote za kiume kuna raha yake jaman
 
-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.

Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....

Mie wa Dar ila nakuunga mkono 100% unakuta mwanaume eti kaweka hereni sikioni kama si bwabwa nini sasa!
 
Back
Top Bottom