Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini cha kunipanikisha? Mi niko zangu hapa Mpitimbi nasubiria mvua ikatike nikapalilie mahindi yangu... nije nipanikishwe na hizi habari za umbea?Usipaniki Mkuu panadol
Hivi rafiki na wewe ni wa Dar eti? [emoji85]Aisee
Hahah! kasoro hizo tabia ila kujiangalia kwenye kioo sioni kama ni mbayaHivi rafiki na wewe ni wa Dar eti? [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umesahau la kuweka vidole juu wakiwa wanaongea-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.
Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....
Hahaaaa. Nimewaza kwa sauti hivyo wanaume wa Mikoani hawajawahi jiangalia kwenye kioo au sijaelewa alichoandika mleta uzi rafiki?Hahah! kasoro hizo tabia ila kujiangalia kwenye kioo sioni kama ni mbaya
Wanajiangalia sana sema basi tu hii mizigo wanabebeshwa watu wa DarHahaaaa. Nimewaza kwa sauti hivyo wanaume wa Mikoani hawajawahi jiangalia kwenye kioo au sijaelewa alichoandika mleta uzi rafiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari manKuna mmoja alikuwa anasoma gazeti ghafla akashtuka!namuuliza vipi??eti hili jikaratasi la gazeti limenchoma kidoleni
Hahaaaaa. Kama ni hivyo kweli kazi ipo rafiki.Wanajiangalia sana sema basi tu hii mizigo wanabebeshwa watu wa Dar
Kazi kweliHahaaaaa. Kama ni hivyo kweli kazi ipo rafiki.
kwa kweli waache tabia hizo-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.
Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....
Hahahaha ufala mimi mdau sana wa juice ya miwaKwa kwelii kabisa, wanaume wenzangu wa Dar mmezidisha sana ubwenyenye.
Eeet mpaka mua mnakamuliwa this too much?
Hahaaaa. Lol.
-------------------------