agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
gubu, ujuaji, visilani, zarau, wagomvi -izo ni baadhi ya tabia zenu siwachukii ila ukweli lazima niwambie
Inaonyesha umetendwa na mwanaume mfupi baada ya kukufaidi
Yamekukuta yepi bidada....hayo uliyosema wengine wapo kama kina hashim thabeet ila tabia hizo wanazo na kupitiliza
wafupi wamezid tabia nyingine wachoyo
gubu, ujuaji, visilani, zarau, wagomvi -izo ni baadhi ya tabia zenu siwachukii ila ukweli lazima niwambie
Hata kama ni wafupi ndio ushaa liwa ivo!
Wafupi maeneo gani.?