Tabia za wanaume wafupi

Tabia za wanaume wafupi

Yamekukuta yepi bidada....hayo uliyosema wengine wapo kama kina hashim thabeet ila tabia hizo wanazo na kupitiliza
 
Pole sana tatizo huwamnakurupuka kuanza mahusiano pengine haya yasingekukuta kama ungefanya subira.
 
I also hate tall women, i once dated one of them i didn't enjoy our relationship though it last for a short time, as a result since then i never date with anyone.... They have got a fuckin' long clit that you cannot see the hole of her pussy! Aaaaaaaaaaaaargh!!!!
 
Wanahasira mnooo, hasa aongee jambo ubishe,wanasumbuliwa na tatizo la kutokujiamini, muda wote wanajihisi kama wanadharauliwa na wanawake, na wanaume ambao ni warefu.
 
Aisee! sijui kwa nini huwa tunajikuta tupo hivyo, Manake kwa ubishi mimi huwa natamani hata kama naenda msalani mara moja nimuachie mtu ubishi wangu kwa muda anishikie nikirudi niendeleze.Halafu ujuaji wetu ndiyo unapelekea mpaka kuyajua hata mambo ya "ESCROW"
 
Back
Top Bottom