Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Shikamoo babu,Wanaume wenye vibamia: Wanawake wengi hawapendi wanaume wenye vibamia
Wanaume wenye mitarimbo: Wanawake wengi wanaogopa mitarimbo mikubwa
Wanaume wenye wowowo: Wowowo ni sunnah kwa wanawake
Wanaume wenye sauti nyembaba: Khaa!
Wanaume wasio na ndevu: heheheh dah!
Wanaume wafupi: Duh!
Wanaume wenye matege: Aisee:cool2:
Wanaume wanaokoroma usiku: Phewww
Wanaume wambea: Ni nomer
Source: Mke wa ODM a.k.a bibi yenu.
Hapo ndo nipo kwenye number 2 na wife katulizana chodroooo, sababu anajua hili janaume linaringa sana inabidi awe ananibembeleza na mimi nazidi kumridhisha kwa mapendo, sababu ananijali sana :cool2:Aina zote zinavumilika ila no 2,3,4,5, na 6 aisee pasua kichwa sn!
Uzuri ni kwamba ukishajua unayo tabia mbaya, ni rahisi kubadilika...............Na nimeanza mdogo mdogo......hapo sasa.....badilika Mtambuzi........
Wewe hunipi tabu kukudadavua............Hiyo namba 4 tumeumana kabisaaa.............Hata sura yako inaonekana kabisa kuwa wewe ni KIGWASU.Mtambuzi nisaidie kujua, hivi tabia za HorsePower zipo namba ngapi hapa? Au yeye ataangukia huko kwenye hizo aina nyingine utazoturushia tena wakati ujao?
Ngoja nizidadavue hapa chini kama ifuatavyo...............
1. Aina ya kwanza ni ile ya mwanaume ambaye anatatabirika. Wanawake hawapendi wanaume wanaotabirika kwa sababu wanaelewa ni jinsi gani watalipokea jambo lolote linalotokea. Mwanamke anaweza kujua kabisa kwamba, leo atatolewa outing au hapana, ataletewa zawadi au la. Yaani hakuna kitu tunachokiita surprise. Wanawake wanataka kiasi fulani cha kutotabirika toka kwa wanaume. Ndio maana utakuta anaishi au kuolewa na mwanaume jeuri au mwenye roho mbaya . siyo kwamba anampenda kwa jeuri yake, bali kwa kutotabirika kwake.
2. Aina ya pili ni ile ya mwanaume anayejisikia (mwenye maringo). Huyu kwa kawaida ni mbinafsi sana. Ni jeuri siyo kwa mpenzi wake tu, bali hata kwa mtu yeyote ambaye anamuona yuko chini yake. Kuwaringia watu wengine ni sawa na kumringia mpenzi wako moja kwa moja.
3. Aina ya tatu ni ile ya wanaume jeuri. Mtu jeuri hana aibu! Wakati mwingine anaonesha waziwazi kwamba anamtamani mwanamke mwingine mbele ya mpenzi wake! Anafikia hatua ya kumsimulia mpenzi wake kuhusu marafiki zake wa kike wa zamani na hata u.p.u.u.z.i waliokuwa wakifanya! Kwa ujumla anawadharau wanawake.
4. Aina ya nne ni ile ya mwanaume bahili. Hamnunulii mpenzi wake zawadi hata siku moja! Kila wakati watokapo outing yeye na mpenzi wake huagiza vyakula vya bei rahisi sana pamoja na kwamba, anazo hela. Anataka kumfanya huyo mpenzi wake atishike naye aagize vya bei rahisi. Na wakati wa kulipa anahesabia fedha mfukoni, anatoa fedha utadhani bajeti inabana sana au utadhani yeye na mpenzi wake wamekubaliana kukaza mikanda. Mwanaume anaonesha ana mkono wa birika namna hiyo katika siku za kwanza tu za mapenzi! Je huko baadaye itakuwaje? Si atahesabu hata vipande vya nyama jikoni!
5. Aina ya tano ni ile ya mwanaume mbishi. Hata majadiliano ya kawaida tu, yeye anataka kubishana! Anapomtoa outing mwanamke, anakuwa kama amempeleka kwenye mashindano ya mdahalo! Mwanamke hajisikii kuwa huru kutoa maoni au kusema hisia zake, maana atabishiwa.
6. Aina ya sita ni ya mwanaume asiyekosea. Huyu bwana anapenda sana kuhumu wenzie. Inawezekana hanywi wala havuti sigara, anataka hata wenzie wamuige yeye, wasinywe wala wasivute sigara. Toka siku ya kwanza anayotoka na mwanamke anaanza kumhubiria anayoyataka yeye, siyo asiyoyataka mwanamke. Huyu hataki kabisa mwanamke akawa huru kama yeye, bali angependa yeye amuamulie awe nani na afanye kipi au asifanye kitu gani, ebo! Sasa hapo ni mtu na mpenzi wake au mtu na mtumwa wake!
7. Aina ya saba ni ile ya mwanaume kuwachukia wanawake. Hafichi chuki yake kwa wanawake. Huyu huonesha dhihaka nyingi kwa mpenzi wake na kuwaponda wanawake kwa ujumla wao. Mazungumzo yake yote yatakuwa ni kuwadharau, kuwadhalilisha na kuwanyanyapaa wanawake. Hivi ni mwanamke wa namna gani ambaye atamkubalia mwanaume mpondaji namna hii? Labda mwanamke mwenye mkabala wa kufujwa peke yake au yule mwenye kutaka tu kuchuna buzi na kusepa zake.
Nitaendelea kuwamwagia Tabia za wanaume zisizowapendeza wanawake siku zijazo....
Wanaume wenye vibamia: Wanawake wengi hawapendi wanaume wenye vibamia
Wanaume wenye mitarimbo: Wanawake wengi wanaogopa mitarimbo mikubwa
Wanaume wenye wowowo: Wowowo ni sunnah kwa wanawake
Wanaume wenye sauti nyembaba: Khaa!
Wanaume wasio na ndevu: heheheh dah!
Wanaume wafupi: Duh!
Wanaume wenye matege: Aisee:cool2:
Wanaume wanaokoroma usiku: Phewww
Wanaume wambea: Ni nomer
Source: Mke wa ODM a.k.a bibi yenu.
Thanks mate... at least hii ntascore mbili tu; Mtambuzi alishanifelisha aisee na umri huu!!!:A S-frusty2:
Mtambuzi bana.... sijui bado tineja yule?Thanks mate... at least hii ntascore mbili tu; Mtambuzi alishanifelisha aisee na umri huu!!!:A S-frusty2:
Heri yake anayaweza,Hapo ndo nipo kwenye number 2 na wife katulizana chodroooo, sababu anajua hili janaume linaringa sana inabidi awe ananibembeleza na mimi nazidi kumridhisha kwa mapendo, sababu ananijali sana :cool2:
Ruksa.... ila ngoja nikuwahi.
Wanaume wenye vitambi, isipokuwa ODM: Wanawake wengi wanapenda athletic figures (six pax lol)
Source: Preta, JF Arachuga.
mhhh kitu cha plasma ndio mpango mzimaNadhani hawapendi wembamba sana, sio mwanaume hata kukugeuza kitandani hawezi!
mhhh kitu cha plasma ndio mpango mzima
Ukimaanisha?
calnde unaniangusha, si flat screen,YAANI MWANAUME MWEMBAMBA
Hiyo ya pili ndo style yangu, mbona naona ndo wanazidi kunipenda :cool2:
Ngoja nizidadavue hapa chini kama ifuatavyo...............
1. Aina ya kwanza ni ile ya mwanaume ambaye anatatabirika. Wanawake hawapendi wanaume wanaotabirika kwa sababu wanaelewa ni jinsi gani watalipokea jambo lolote linalotokea. Mwanamke anaweza kujua kabisa kwamba, leo atatolewa outing au hapana, ataletewa zawadi au la. Yaani hakuna kitu tunachokiita surprise. Wanawake wanataka kiasi fulani cha kutotabirika toka kwa wanaume. Ndio maana utakuta anaishi au kuolewa na mwanaume jeuri au mwenye roho mbaya . siyo kwamba anampenda kwa jeuri yake, bali kwa kutotabirika kwake.
2. Aina ya pili ni ile ya mwanaume anayejisikia (mwenye maringo). Huyu kwa kawaida ni mbinafsi sana. Ni jeuri siyo kwa mpenzi wake tu, bali hata kwa mtu yeyote ambaye anamuona yuko chini yake. Kuwaringia watu wengine ni sawa na kumringia mpenzi wako moja kwa moja.
3. Aina ya tatu ni ile ya wanaume jeuri. Mtu jeuri hana aibu! Wakati mwingine anaonesha waziwazi kwamba anamtamani mwanamke mwingine mbele ya mpenzi wake! Anafikia hatua ya kumsimulia mpenzi wake kuhusu marafiki zake wa kike wa zamani na hata u.p.u.u.z.i waliokuwa wakifanya! Kwa ujumla anawadharau wanawake.
4. Aina ya nne ni ile ya mwanaume bahili. Hamnunulii mpenzi wake zawadi hata siku moja! Kila wakati watokapo outing yeye na mpenzi wake huagiza vyakula vya bei rahisi sana pamoja na kwamba, anazo hela. Anataka kumfanya huyo mpenzi wake atishike naye aagize vya bei rahisi. Na wakati wa kulipa anahesabia fedha mfukoni, anatoa fedha utadhani bajeti inabana sana au utadhani yeye na mpenzi wake wamekubaliana kukaza mikanda. Mwanaume anaonesha ana mkono wa birika namna hiyo katika siku za kwanza tu za mapenzi! Je huko baadaye itakuwaje? Si atahesabu hata vipande vya nyama jikoni!
5. Aina ya tano ni ile ya mwanaume mbishi. Hata majadiliano ya kawaida tu, yeye anataka kubishana! Anapomtoa outing mwanamke, anakuwa kama amempeleka kwenye mashindano ya mdahalo! Mwanamke hajisikii kuwa huru kutoa maoni au kusema hisia zake, maana atabishiwa.
6. Aina ya sita ni ya mwanaume asiyekosea. Huyu bwana anapenda sana kuhumu wenzie. Inawezekana hanywi wala havuti sigara, anataka hata wenzie wamuige yeye, wasinywe wala wasivute sigara. Toka siku ya kwanza anayotoka na mwanamke anaanza kumhubiria anayoyataka yeye, siyo asiyoyataka mwanamke. Huyu hataki kabisa mwanamke akawa huru kama yeye, bali angependa yeye amuamulie awe nani na afanye kipi au asifanye kitu gani, ebo! Sasa hapo ni mtu na mpenzi wake au mtu na mtumwa wake!
7. Aina ya saba ni ile ya mwanaume kuwachukia wanawake. Hafichi chuki yake kwa wanawake. Huyu huonesha dhihaka nyingi kwa mpenzi wake na kuwaponda wanawake kwa ujumla wao. Mazungumzo yake yote yatakuwa ni kuwadharau, kuwadhalilisha na kuwanyanyapaa wanawake. Hivi ni mwanamke wa namna gani ambaye atamkubalia mwanaume mpondaji namna hii? Labda mwanamke mwenye mkabala wa kufujwa peke yake au yule mwenye kutaka tu kuchuna buzi na kusepa zake.
Nitaendelea kuwamwagia Tabia za wanaume zisizowapendeza wanawake siku zijazo....
mwanaume asiyeweza kufanya maamuzi mwenyewe bila kuwashirikisha marafiki