Tabia za wanaume zisizowapendeza wanawake!

Tabia za wanaume zisizowapendeza wanawake!

Umesahahu, wanaume wanaogeuka kuangalia angalia wanawake njiani hata kama yupo na mpenzi wake.

aah sikuhizi habari za "ready made" zimekuwa taabu. enzi zetu ukijisahau na kukutwa
umegeuza shingo unajitetea "nakuangalizia mishono dia".lol
 
Kama unasifa zote hapo ujue utapata kitu swaafi maana opposite attracts like North and South ya magnet.
 
Back
Top Bottom