GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
Umesahahu, wanaume wanaogeuka kuangalia angalia wanawake njiani hata kama yupo na mpenzi wake.
aah sikuhizi habari za "ready made" zimekuwa taabu. enzi zetu ukijisahau na kukutwa
umegeuza shingo unajitetea "nakuangalizia mishono dia".lol