Tabia za wanaume zisizowapendeza wanawake!

wanawake hawapendi mwanaume mlevi
mwanaume asiyeweza majukumu
mwanaume asiyeweza kufanya maamuzi mwenyewe bila kuwashirikisha marafiki
mwanaume mchafu
mwanaume malaya
mwanaume mjinga
anayemaliza game halafu anavuta sigara
 
anayelock simu
Anayefuta msg lakini anasahau delivery report
Anayetongoza mashoga wa mtu wakeanayehonga gari bila kadi
Anayerudi hm saa za wachawi kuwanga
 
Umesahahu, wanaume wanaogeuka kuangalia angalia wanawake njiani hata kama yupo na mpenzi wake.
Joy,huyo ndo mwanaume 'shingo feni' , hafai kwa kweli,si uridhike na wa kwako uliyemchagua???????
 
Kuna kabila fulani wanafahamika kwa No. 4, natamani wadada wajihadhari na wa kabila hii. Maana kula, kuumwa, kuoga pia bajeti.
Mie sipendi tabia ya kusemana kwa MAFUMBO........................LOL
 
8.)Hawapend man acyewackiliza,.its mistake 4 man 2 think he required 2 solve all gal's problems,man cn refus 2 listen them to avoid majukumu,some problem has no solution and they knw dt..ol they want z 2b allowed 2 express their feelings,idea n' problem..
 

1. Aina ya kwanza ni ile ya mwanaume ambaye anatatabirika. Kwanini mwanamke awe mtabiri? basi naye (Mke) anatabia mbaya.

2. Aina ya pili ni ile ya mwanaume anayejisikia (mwenye maringo). Kujisikia kupi? Kujiamini? Nadhani mke naye anatakiwa kuwa mtafutaji.

3. Aina ya tatu ni ile ya wanaume jeuri. Hapa umechanganya maelezo. Sijakuelewa. Jeuri si lazima akose aibu. lkn maelezo yako yanaonesha labda mpenzio alikuwa kakuchoka.

4. Aina ya nne ni ile ya mwanaume bahili. Hii aina ubishi kuwa kuendelea kwa wanawake kuwa tegemezi na kupiga kelele majukwaani kutaka ata haki ya kipato hakuwezi kuwakomboa. Si vibaya kupewa zawadi ila ni vibaya kutegemea zawadi mara zote, huu utakuwa uombaomba wa namna fulani.
5. Aina ya tano ni ile ya mwanaume mbishi. Anabishana na nani kama mke au mtu fulani aendelezi ubishi!!! Kubishana ni pande mbili. Lakini si lazima kukubali kila kitu. Ila kama anabisha penye ukweli basi huo ni ujinga.

6. Aina ya sita ni ya mwanaume asiyekosea. Nafikiri huyu ndo mzuri kwa mahusiano. anaweka bayana yale anayodhani si poa kwake. Ukikubali poa na ukikataa tambaa.

7. Aina ya saba ni ile ya mwanaume kuwachukia wanawake. Sidhani kama huyu yupo. lakini siumesema asipende wanawake wengine kwenye ujeuri????

Nitaendelea kuwamwagia Tabia za wanaume zisizowapendeza wanawake siku zijazo... Usiendelee. Tabia ulizotaja nadhani moja au zaidi itakuwa kwa kila mwanaume na mke pia. Kama hujaolewa acha na kama umeolewa hakuna ndoa hapo.
 

....dahhh, ....basi kwa eksipriensi yangu wanawake wengi wa maana (ninaowajua) ndio wanao fall in love kwa wanaume wenye sifa hizo...
 
  1. sipendi mwanaume shingo feni kila ukikaa naye unajiuliza yuko na wewe kwa sababu gani kama hajamaliza kuchagua....
  2. sipendi mwanaume mwenye kibamia.......
  3. sipendi mwanaume mlevi kupita kiasi......
  4. sipendi mwanaume obsessed na mpira,yule ambaye kuangalia manchester united kunakuja kabla hali ya watoto wameshindaje.......
  5. sipendi mwanaume mwenye gubu asiyeshaurika ...

ni hayo tu kwa leo lol
 


na utakuta most of ur guys wako hivyo....


inaitwa the power of attractions....watu weengi huwa wana attract the opposite of what they want....
 
na utakuta most of ur guys wako hivyo....


inaitwa the power of attractions....watu weengi huwa wana attract the opposite of what they want....

...khaa, yaani ushapigilia msumari jeneza kisha na welding unalichomea....hahaha!
 
Hiyo no4 hiyo..kwa kipato cha bongo bila ubahili hufanyi lolote,na hapa ukiyaendekeza matamanio kike yasiyoisha utajachekwa na dunia..unamuendekeza leo kesho atakusimanga, eti huna malengo..jamani kuna kesho, tuwe na kiasi..UBAHILI ni mtaji na ndo ramani yenyewe..
 
Anaeenda outing na wanawake wengine,Gudluck unakuwa umetoka out na mashost wenzako,unamwona.ukimtext anakuambia am just at home.
 
na utakuta most of ur guys wako hivyo....


inaitwa the power of attractions....watu weengi huwa wana attract the opposite of what they want....


The Boss, umesema jambo la msingi sana, hata ukisoma maoni ya Jestina yanaonesha dhahiri anavuta kile asichokipenda.......Hiyo niliyoweka BOLD inadhihirisha hilo.............Akili yetu ya kina haijui neno SIPENDI....
Yenyewe inafanyia kazi kile kilichotamkwa na vinywa vyetu na kuingizwa katika akili zetu, neno sipendi linakuwa halipo kabisa..........Kinachotakiwa ni kusema sifa uzitakazo....kile ndio kinatakiwa kuingia akilini mwako.

Hebu chunguza watu waliokuzunguka hususan wanawake... Wale waliowahi kuapa kuwa hawapendi kuolewa na wanaume wa aina fulani wamejikuta wameangukia kwa wanaume wa aina hiyo, na hata kazi wale waliosema hawapendi kazi za taaluma fulani sasa wameangukia huko huko.
Kilichofanyiwa kazi na akili ya kina ni kile usichokipenda kwa sababu ndicho kilichopo akilini mwako.
Nitaweka mada ya the power of attractions..........SIKU ZIJAZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…