Tabia za wanawake wa kinyamwezi

Tabia za wanawake wa kinyamwezi

Tuagize

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
244
Reaction score
585
Eejamaa eh wazima wote, hebu tufahamishane tabia za wanawake wa kinyamwezi ni zipi kwa sisi tusiojua tabia zao ili tusije kuingia mkenge kwa kumuoa mwanamke wa kinyamwezi.

• Wavumilivu sana kwenye maisha
 
Wewe unaonekana unaanza kumlia timing binti mnyamwezi wangu hapa kitaa! Sitakubali!
 
. Wanapenda sana ushirikina

. Wavivu wa kazi

. Kama ni MVULANA wa dar, achana nao maana wanapenda sana kukazwa kisawasawa

. Mengine utayakuta ndani ya Ndoa
 
Ukiwa ndugu yake akienda Dubai UKOO wote hesabuni Mmekufa😂

Maana ana Story Nyingi za kusimulia hadi saizi ya Maini ya mwanadamu.
 
Ukiwa ndugu yake akienda Dubai UKOO wote hesabuni Mmekufa😂

Maana ana Mali Nyingi za kusimulia na kuandika kwenye gazeti hadi saizi ya Maini ya mwanadamu.
 
Ukiwa ndugu yake akienda Dubai UKOO wote hesabuni Mmekufa😂

Maana ana Mali Nyingi za kuzitumia kupata URAISI na kusimulia na kuandika kwenye gazeti hadi saizi ya Maini ya mwanadamu.
 
Ukiwa ndugu yake akienda Dubai UKOO wote hesabuni Mmekufa😂

Maana ana Hesabu Nyingi za kusimulia na kuandikwa kwenye gazeti hadi saizi ya Maini ya mwanadamu.
 
1. Wanajua mahaba
2. Wanajua kupika
3. Idadi ya watoto ni nguvu yako
4. Wavumilivu
5. Wana upendo sana plus wivu
6. Mostly ni warembo
7. Ukioa hakikisha unatafuta hela kwa nguvu sana maana sio wapenzi wa kuhangaika kama wapalestina lakini familia watakulelea vizuri mno.
 
Wakikufanyizia utajuta, rafiki angu aliwahi ambiwa na dem wake kuwa anauwezo wa kumuweka kwenye kiganja akatulia tu na akawa anamwendesha. Tangu siku hiyo mwana alikaa na huyo manzi.
 
1.Wanamakalio makubwa
2.wanavaa shanga
3 .pia ni wazuri Hasa
4.kama hupendi kuchapiwa usioe.
 
Back
Top Bottom