WanaJF Inakuwaje!
Watafiti wa maswala ya wanyama Kaskazini mwa ulaya hasa skendinevia/Nordic wameshangazwa sana na tabia za wanyama wengi wanaoliwa (Prey) kuhamia mijini kutoka porini na kufanya Makazi yao ya kudumu.
Hii ni kutokana na usalama wao. Wanaona wakiwa mjini karibu na binadamu wanajisikia Salama.
Kati ya hao wanyama ni ndege na Sungura pori na wengine. Mamlaka husika zimewaomba wakazi wasiwape chakula wawaache wajitafutie wenyewe kwasababu watawazoesha.
Pia Mbweha wengi nao wanaongezeka mijini (urban fox) kujitafutia chakula.
Je, sisi wamatumbi tunaweza kukaa karibu na hawa wanyama bila kuwadhuru?