mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,629
Ooooh.. nimekupata vyema.Wanyama wanauwezo wa kusikia sesmic activities zinazotokea kwenye miamba ya chini, kwasasa binadamu ana technology ya ku sence activities hizo.
kuna wakati nilidhani hii iko spiritual lane zaidi..