Likitokea wimbi la wanyama kuja ktk makazi ya binadamu kuna uwezekano mkubwa hali hiyo ikazoeleka tu. Nafananisha na wale mbuzi wanaozurula uswahilini kuku mbwa minyau n.kHuku bongo hawawezi kufanya hivyo Kama huko mwituni kuna hali ngumu wanaona heri wakomae hukohuko kuliko kuja mitaani kama buza ati unapishana na swala..๐๐
Hata Kama nyakati zinabadilika basi jueni hilo huku kwetu haitakuwa leo labda ufanyike muujiza..
Sahau ndugu hivi unajua wabongo wewe swala watafanywa kitoweo wataisha na wale wasiokulaga nyama kitaeleweka tu... Halafu nenda katafute zile video za nyumbu wakiwa wanafanya uhamisho utaelewa yanakimbia kama yamekula bangi... Sasa ndo yawe jiji kama dar yanahama yanaenda sehemu nyengine si yataweka na jam unakuta yanapita daraja sijui la mfugale mengine yanaanguka..๐๐ halafu yalivyo hovyo huwa yanakanyagana..Likitokea wimbi la wanyama kuja ktk makazi ya binadamu kuna uwezekano mkubwa hali hiyo ikazoeleka tu. Nafananisha na wale mbuzi wanaozurula uswahilini kuku mbwa minyau n.k
Itakuwa kama JumanjiSahau ndugu hivi unajua wabongo wewe swala watafanywa kitoweo wataisha na wale wasiokulaga nyama kitaeleweka tu... Halafu nenda katafute zile video za nyumbu wakiwa wanafanya uhamisho utaelewa yanakimbia kama yamekula bangi... Sasa ndo yawe jiji kama dar yanahama yanaenda sehemu nyengine si yataweka na jam unakuta yanapita daraja sijui la mfugale mengine yanaanguka..๐๐ halafu yalivyo hovyo huwa yanakanyagana..
It's too risk maana na wanyama Kama simba,chui watakuja kuwawinda Sasa humo kwenye mawindo Kuna binadamu jua wataungwa tu nawenyewe wawe chakula ya fisi n.k๐
HahaaEti sungura aje kuishi na mimi wakati hata hela ya nyama sina [emoji4]
Wazungu ni wanafiki muda huohuo wanachinja ngโombe, nguruwe alafu wanajifanya wanahurumaHuku bongo hawawezi kufanya hivyo Kama huko mwituni kuna hali ngumu wanaona heri wakomae hukohuko kuliko kuja mitaani kama buza ati unapishana na swala..๐๐
Hata Kama nyakati zinabadilika basi jueni hilo huku kwetu haitakuwa leo labda ufanyike muujiza..
Kuchinja kistaarabu kukoje?. Wanawapa nusu kaputi?Ila wanawachinja kistaarab
Hata huku kwetu kuna haja ya kufanya utafiti kwa hawa kunguru wanaoiba mpaka nyama kwenye sufuria, tena ikiwa jikoni.WanaJF Inakuwaje!
Watafiti wa maswala ya wanyama Kaskazini mwa ulaya hasa skendinevia/Nordic wameshangazwa sana na tabia za wanyama wengi wanaoliwa (Prey) kuhamia mijini kutoka porini na kufanya Makazi yao ya kudumu.
Hii ni kutokana na usalama wao. Wanaona wakiwa mjini karibu na binadamu wanajisikia Salama.
Kati ya hao wanyama ni ndege na Sungura pori na wengine. Mamlaka husika zimewaomba wakazi wasiwape chakula wawaache wajitafutie wenyewe kwasababu watawazoesha.
Pia Mbweha wengi nao wanaongezeka mijini (urban fox) kujitafutia chakula.
Je, sisi wamatumbi tunaweza kukaa karibu na hawa wanyama bila kuwadhuru?
Tembo na wanyama pori wengine wanavamia makazi ya watu kila sikuHuku bongo hawawezi kufanya hivyo Kama huko mwituni kuna hali ngumu wanaona heri wakomae hukohuko kuliko kuja mitaani kama buza ati unapishana na swala..๐๐
Hata Kama nyakati zinabadilika basi jueni hilo huku kwetu haitakuwa leo labda ufanyike muujiza..
Hiyo inaashiria kuwa nchi hiyo itapata tetemeko kunbwa kutokea baharini na kutatokea earthquakeWanaJF Inakuwaje!
Watafiti wa maswala ya wanyama Kaskazini mwa ulaya hasa skendinevia/Nordic wameshangazwa sana na tabia za wanyama wengi wanaoliwa (Prey) kuhamia mijini kutoka porini na kufanya Makazi yao ya kudumu.
Hii ni kutokana na usalama wao. Wanaona wakiwa mjini karibu na binadamu wanajisikia Salama.
Kati ya hao wanyama ni ndege na Sungura pori na wengine. Mamlaka husika zimewaomba wakazi wasiwape chakula wawaache wajitafutie wenyewe kwasababu watawazoesha.
Pia Mbweha wengi nao wanaongezeka mijini (urban fox) kujitafutia chakula.
Je, sisi wamatumbi tunaweza kukaa karibu na hawa wanyama bila kuwadhuru?
umenikumbusha ya JAPAN.Hiyo inaashiria kuwa nchi hiyo itapata tetemeko kunbwa kutokea baharini na kutatokea earthquake
Hata tsunami ya Indonesia ilikuwa hivyoumenikumbusha ya JAPAN.
hadi leo sijui nini utokea kwa wanyama kuwa na uwezo wa kusensi mambo yajayo kitu ambacho binadamu hawana kabisa.Hata tsunami ya Indonesia ilikuwa hivyo
Wanyama wanauwezo wa kusikia sesmic activities zinazotokea kwenye miamba ya chini, kwasasa binadamu ana technology ya ku sence activities hizo.hadi leo sijui nini utokea kwa wanyama kuwa na uwezo wa kusensi mambo yajayo kitu ambacho binadamu hawana kabisa.