mbalaka JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 2,240 Reaction score 2,629 Aug 19, 2020 #21 Gama said: Wanyama wanauwezo wa kusikia sesmic activities zinazotokea kwenye miamba ya chini, kwasasa binadamu ana technology ya ku sence activities hizo. Click to expand... Ooooh.. nimekupata vyema. kuna wakati nilidhani hii iko spiritual lane zaidi..
Gama said: Wanyama wanauwezo wa kusikia sesmic activities zinazotokea kwenye miamba ya chini, kwasasa binadamu ana technology ya ku sence activities hizo. Click to expand... Ooooh.. nimekupata vyema. kuna wakati nilidhani hii iko spiritual lane zaidi..
I Intel5500 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2019 Posts 738 Reaction score 655 Aug 19, 2020 #22 Wameanza lini hao wanyama kuonesha hizo tabia? Nimeunganisha dots Kwa lile tetemeko la karibuni na hao wanyama.... I think something big is coming....
Wameanza lini hao wanyama kuonesha hizo tabia? Nimeunganisha dots Kwa lile tetemeko la karibuni na hao wanyama.... I think something big is coming....