Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mko wachache sanaDuuh labda huko kwenu hapa nilipo mkate tunautengeneza wenyewe asubuhi, yani unaamka asubuhi unachukua mahitaji unaweka kwenye kifaa unaendelea kufanya mambo mengine, baada ya dk kadhaa unasikia kimlio tiii tiii tiii unaenda kuchukua mkate wako
Utanzania unapatikana kwa mashindano?Kwenye asilimia kubwa ndio ushindi unapopatikana sikuzote, wengi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu.Sasa ukitumia wengi wape, hao wachache wanakuwa si Watanzania?
Kuna tofauti kati ya "Watanzania" na "Watanzania wengi".
Mimi hapa nimetumia idadi kubwa ya watanzania weng waoish maisha ya chini, weng ni masikini, sasa mzee usinivute huko kwa kina nyalali siyajuagi hayo.. Utakua umeelewaUtanzania unapatikana kwa mashindano?
Unaelewa kwamba kwenye Tume ya Nyalali Watanzania asilimia 80 hawakutaka vyama vingi, asilimia 20 tu ndio waliotaka.
Lakini serikali ikakubali maoni ya hao asilimia 20, ikakubali vyama vingi vya siasa viwepo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kupeleka kunguni daahSiku hizi bado kuna wageni kwenye majumba ya watu,maisha yamebadilika yako utafanya saa ngapi kutwa vijumbani kwa watu kupeleka kunguni
Unalazimisha nitakuwa nimeelewa?Mimi hapa nimetumia idadi kubwa ya watanzania weng waoish maisha ya chini, weng ni masikini, sasa mzee usinivute huko kwa kina nyalali siyajuagi hayo.. Utakua umeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukitumia wengi wape, hao wachache wanakuwa si Watanzania?
Kuna tofauti kati ya "Watanzania" na "Watanzania wengi".
Una shida gani?Unalazimisha nitakuwa nimeelewa?
Unaelewa tofauti ya "Watanzania wengi" na "Watanzania" ?
Hujajibu niliyouliza.Unapendaga kubishana hata ukieleweshwa. Muone!
Kama hujaelewa basi, rekebisha heading hapo weka "watanzania wengi"Unalazimisha nitakuwa nimeelewa?
Unaelewa tofauti ya "Watanzania wengi" na "Watanzania" ?
Nirekebishe heading kwani mimi ndiye niliyeandika heading?Kama hujaelewa basi, rekebisha heading hapo weka "watanzania wengi"
Sent using Jamii Forums mobile app