Tabia za Watanzania ambazo hazijulikani zimetokea wapi

Kwenye asilimia kubwa ndio ushindi unapopatikana sikuzote, wengi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Utanzania unapatikana kwa mashindano?

Unaelewa kwamba kwenye Tume ya Nyalali Watanzania asilimia 80 hawakutaka vyama vingi, asilimia 20 tu ndio waliotaka.

Lakini serikali ikakubali maoni ya hao asilimia 20, ikakubali vyama vingi vya siasa viwepo?
 
Mimi hapa nimetumia idadi kubwa ya watanzania weng waoish maisha ya chini, weng ni masikini, sasa mzee usinivute huko kwa kina nyalali siyajuagi hayo.. Utakua umeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukitumia wengi wape, hao wachache wanakuwa si Watanzania?

Kuna tofauti kati ya "Watanzania" na "Watanzania wengi".

Unapendaga kubishana hata ukieleweshwa. Muone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…