Tabia za watu huendana na majina yao...

Tabia za watu huendana na majina yao...

Mh!.. Mi nnavyojua tabia ya mtu inatokana na malezi aliyopata kwao + mazingira anayoishi + shule alizosoma... Ila jina?? Sijawahi kusikia!
Si vyote utavyoamini hadi usikie.Ulivyo sikia vyote tangu ulipopambanukiwa unatuambia ndio unavyoamo
 
Tuko - wachokozi sana, huamini vitu bila vielelezo, hupenda kutunzwa bila yeye kutunza..... hahahaha
haahahahaaaaa! Mkuu konakali umempa sure mshikaji teh! Ila nakubaliana nae LILIAN & SALMA/SALAMA HUWA NI MALAYA SANA, HAWAJATULIA KABISA!
 
Back
Top Bottom