Tabia za wenye magari

Tabia za wenye magari

mkuu nilikuwa natolea mfano, sibabaiki na jina because i know cars, and i drive the most dignified ones, proper engineering, ningekuwa namaanisha ningesema cayene, verron ama machialago. mark X as a toy, compared to the ones i have mentioned.

unababaika na jina....hio gari ni very cheap!!!! brand new mark x costs almost twice zaidi
 
Bora mie sina gari nasubiri foleni ipungue ndo ninunue maan duhhh mmezid majungu
 
Hahaha hiyo ya mwisho sasa wanapolaza mbavu zao anakaa kwa tumbo sweken kigari cha mkopo anakipaki shell!😀
 
Na sisi wenye matrekta tunayoingia nayo katikati ya mji kuchukua mizigo mbona mmetubagua hapa.
 
Next time uje na utafit kwa sisi wenye bodaboda maana hata sisi tunatumia barabara hizi hizi huu ni ubaguzi
 
Ukiwa na gari tu maana yake akili inajishape na tabia hapo juu? Siamini kabisa.
 
Back
Top Bottom