GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Mar 22, 2017 #21 Kiti cha ukuu wa mkoa dar hakikaliki tena kwa maelezo Zaidi nunua gazeti hili
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Mar 22, 2017 #22 Si wameambiwa wasimuandike au? Na wasimuandike kabisa, wakimuandika kwa juu ya lolote basi ni kwamba Mh. Makonda wanampenda sana. Ili wapatie pesa kupitia yeye, sababu hawana lingine wanamuhitaji sanaaa. Makonda oyeeeeee
Si wameambiwa wasimuandike au? Na wasimuandike kabisa, wakimuandika kwa juu ya lolote basi ni kwamba Mh. Makonda wanampenda sana. Ili wapatie pesa kupitia yeye, sababu hawana lingine wanamuhitaji sanaaa. Makonda oyeeeeee
Kingfisher JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 4,740 Reaction score 7,679 Mar 22, 2017 #23 Wasipomuandika magazeti watauza wapi...chezea njaa wewe
lydiah Senior Member Joined Sep 2, 2015 Posts 151 Reaction score 101 Mar 22, 2017 #24 shushushu VIP said: Kaka ukae ukijua kwamba jina la makonda halitakiwi kutajwa kwenye chombo cha habari ndio masna jamii forum wameliban Click to expand... Jaman mbona bado ukiliandika linatokea so wame ban vp mbona sielew
shushushu VIP said: Kaka ukae ukijua kwamba jina la makonda halitakiwi kutajwa kwenye chombo cha habari ndio masna jamii forum wameliban Click to expand... Jaman mbona bado ukiliandika linatokea so wame ban vp mbona sielew
Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,631 Reaction score 3,527 Mar 22, 2017 #25 Kumbe kweli siasa za nchi hii zinaendeshwa kwa matukio na magazeti ndio yamekuwa kama bango.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Mar 22, 2017 #26 Makonda oyeee. Wauza unga na washirika Wao Subirini KAULI ya JPM apigilie kabisa msumari wa Mwisho
Mtengwa II JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 860 Reaction score 1,421 Mar 22, 2017 #27 Nape ajitoa muhanga!!
D Dundo_Boy JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 2,458 Reaction score 2,465 Mar 22, 2017 #28 Umekalia kuti kavu!
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Mar 22, 2017 #29 Starling hauwawi