Tabiri kichwa cha habari cha magazeti ya kesho

Tabiri kichwa cha habari cha magazeti ya kesho

Kiti cha ukuu wa mkoa dar hakikaliki tena kwa maelezo Zaidi nunua gazeti hili
 
Si wameambiwa wasimuandike au?

Na wasimuandike kabisa, wakimuandika kwa juu ya lolote basi ni kwamba Mh. Makonda wanampenda sana. Ili wapatie pesa kupitia yeye, sababu hawana lingine wanamuhitaji sanaaa.

Makonda oyeeeeee
 
Kumbe kweli siasa za nchi hii zinaendeshwa kwa matukio na magazeti ndio yamekuwa kama bango.
 
Makonda oyeee. Wauza unga na washirika Wao Subirini KAULI ya JPM apigilie kabisa msumari wa Mwisho
 
Back
Top Bottom