Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mapenzi upofu JamiiForums mobile appMan u atakua bingwa msimu huu aijalishi Kama amefungwa mechi ya kwanza.
Kama ulikuwa kwenye kichwa changu,, LEEDS EVERTON na SPURS kama zisipo choka mapema hizo timu zitawasha moto vilivyo na nasema wazi hizi timu man utd hana anayemfunga hapo
Mapenzi upofu JamiiForums mobile app
Kwa huu ujinga wa leo, nachelea kusema UTD wanashuka daraja.
Na hapo silaumu bodi wala mkurugenzi wa ufundi, tuanze na kocha; Martial ni striker wa kumuamini pale mbele? Rashford? Kweli? Pogba huyu ambaye hana tofauti na Anderson, umuweke dimba la chini? Si kumchosha McTommnay tu? Maguire na Lindelof, nani ni nani? Zaha anatembea anavyojisikia, eti Shaw ndo anaanzisha move, Lindelof akitegemea kumaliza....kweli? Hii si UTD niliyoizoea tangu naanza kuishabikia enzi za akina Dwight na Andy
Martial, Rashford, na wafananao, hawana quality ya kuichezea UTD, pengine hata kocha pia hana maono ya ki-man utd....crytal wa kutupiga 3 nyumbani? Hata wananchi wasingekubali kizembe vile
Mwaka huu itakuwa ya mwisho ni timu mbovu sana,na yuke mpuuzi wao wudwadi hataki kununua wachezajiMechi ya kwanza ya ligi ndani ya OT, Man Utd anafungwa vizuri tu na timu ya kawaida Crystal Palace. Bodi ya Man Utd imekuwa ikikaa kimya na kusuasua katika usajili, hivyo kumfanya kocha Ole Gunnar asijue la kufanya. Ikumbukwe wiki iliyopita Man Utd ilifungwa 1-0 na Aston Villa katika mechi ya kirafiki.
Sasa Man Utd ana kibarua, maana ukiacha Arsenal, Man City, Liverpool, Chelsea na Spurs msimu kuna timu machachari ukienda kichwa kichwa utakula nyingi, timu kama Leeds Utd, Everton, nk
Unaiona Man Utd ikimaliza kwenye nafasi ya ngapi, kama hawatofanya usajili?
Mimi nawapa nafasi ya 5
Manyu wameshinda ngapi huko?