Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mechi ya kwanza ya ligi ndani ya OT, Man Utd anafungwa vizuri tu na timu ya kawaida Crystal Palace. Bodi ya Man Utd imekuwa ikikaa kimya na kusuasua katika usajili, hivyo kumfanya kocha Ole Gunnar asijue la kufanya. Ikumbukwe wiki iliyopita Man Utd ilifungwa 1-0 na Aston Villa katika mechi ya kirafiki.
Sasa Man Utd ana kibarua, maana ukiacha Arsenal, Man City, Liverpool, Chelsea na Spurs msimu kuna timu machachari ukienda kichwa kichwa utakula nyingi, timu kama Leeds Utd, Everton, nk
Unaiona Man Utd ikimaliza kwenye nafasi ya ngapi, kama hawatofanya usajili?
Mimi nawapa nafasi ya 5