Tabiri, ni tukio gani au msemo gani utatrend au ni nani atatrend hivi karibuni

Tabiri, ni tukio gani au msemo gani utatrend au ni nani atatrend hivi karibuni

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio.
Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni.
Komando madafu
Miso Misondo
Konki master
Lizer wa Tanzanite
Mandonga mtu kazi
Liquid piere
Aslay na Binti kungwi
Mwanachuo na Mirinda
Bashite na Gwajiboy
Agrey Mwari retired RC
Mama bonge na TRA
Shambulio la Lissu Dodoma
Nape na jamaa wa bastola
Kibiti na baa la mauaji
Kiboko ya Wachawi
Mwamposa
Mia 9 itapendeza
Tumbua tumbua ya Magufuli.

Matukio ni mengi sana, wapo waliotoka kimaisha na wengine kupata pesa na umaarufu wa muda mfupi kupitia trending zao.
Nilichojifunza ni kwamba Bongo kutoka kimaisha ni simple tu, ukiweza kutengeneza trending ya wiki moja tu utaanza kufuatwa na wanahabari then unapata chance za kutangaza biashara za watu unatoka.
 
Mimi ni Chadema.
 
Back
Top Bottom