Tabiri top ten EPL..itakavyoisha..

Tabiri top ten EPL..itakavyoisha..

Uhakika ni Liverpool kuwa bingwa EPL tena.
Huko kwingine hapaeleweki sana, ingawa nahisi kuna timu tatu ndogo zitafanya maajabu.
 
Ukisema top ten bc hakuna atakaye shindwa kutaja
 
Uhakika ni Liverpool kuwa bingwa EPL tena.
Huko kwingine hapaeleweki sana, ingawa nahisi kuna timu tatu ndogo zitafanya maajabu.
Liverpool uhakika wake ni kucheza UEFA siyo ubingwa kwa sasa
 
EPL itaishia timu zipi zipo top ten??

naamini hizi ndo zitaingia top ten.

Liverpool
arsenal
man city
Chelsea
Everton
man u.
Leicester
Tottenham
wolves.
leeds..
Nawatoa Leeds naweka Southampton
 
Back
Top Bottom