Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kufuatia tukio la leo la January Makamba kufurushwa Uwaziri, tabiri vichwa vya magazeti vya kesho.
[emoji1] [emoji1] bila shaka ww ni journalistsMakamba Nje; Ni baada ya Mikakati ya kumhujumu Rais kugundulika; Mwenyewe asema amepokea bila kinyongo
2. Siri za kumhujumu Rais za bainika; Makamba apigwa chini
3. Yametimia! Makamba atoswa; Vigogo zaidi matumbo joto
[emoji1] [emoji1] bila shaka ww ni journalists
Kufuatia tukio la leo la January Makamba kufurushwa Uwaziri, tabiri vichwa vya magazeti vya kesho.
8) Wapinzani wamkubali Magufuli kimya kimya.....