Tabiri Vichwa vya Magazeti ya Kesho Jumatatu

Tabiri Vichwa vya Magazeti ya Kesho Jumatatu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kufuatia tukio la leo la January Makamba kufurushwa Uwaziri, tabiri vichwa vya magazeti vya kesho.
 
I( Ccm kwafukuta moshi mweusi.
2( Migambo wanaruka na kukanyagana wenyewe.
3) Huko Lumumba hali sio shwari.
4) Mpaka sasa waliotumbuliwa wanaunda timu ya mpira.
5) Magufuli ainyoosha ccm...
6) Wasiomheshimu Magufuli wahaha!
7) Wasomi waufyata kwa Magufuli.
8) Wapinzani wamkubali Magufuli kimya kimya.....
 
Baba amponza mwana..
Bashe aula makamba nje...
JPM afanya mabadiliko bashe ndani...
Kikikosa kichwa kimoja wapo nitajua kazi ya utabili ni ya wanajimu tu..
 
Back
Top Bottom