Tabiri Vichwa vya Magazeti ya Kesho Jumatatu

Tabiri Vichwa vya Magazeti ya Kesho Jumatatu

TANZANITE
Mwanzo wa mwisho wa CCM.
UHURU Mpasuko ndani ya chama chetu
TANZANIA DAIMA Waziri mkuu apokea treni
MTANZANIA Mtatiro juu wana Lumumba waendelea kuimba pambio
 
Zari atoa ya moyoni; ni kuhusu ukweli juu ya kuachana kwake na Diamond
 
Mwananchi: HATIMAE MAKAMBA APIGWA KAMBA NA JPM.

Tanzania Daima: MPASUKO WAZIDI NDANI YA CHAMA TAWALA, HATIMAE MAKAMBA NAE AACHA MPENYO NDANI YA CHAMA.

Nipashe (Mwanga wa jamii): MAKAMBA CHALI,BASHE AULA UNAIBU.

Tanzanite: JPM MOTO, AMTUMBULIA MBALI MAKAMBA.

Majira: SINTOFAHAMU YAENDELEA KATIKA CHAMA TAWALA, VIGOGO WACHARUKIANA WAO KWA WAO.
 
UHURU. Harusi ya diwani kata ya Igembensabo yafana.
TANZANITE . Asilimia mia Masaki wana umeme.
NIPASHE. CHADEMA waula bila jasho.
 
Makamba Nje; Ni baada ya Mikakati ya kumhujumu Rais kugundulika; Mwenyewe asema amepokea bila kinyongo


2. Siri za kumhujumu Rais za bainika; Makamba apigwa chini


3. Yametimia! Makamba atoswa; Vigogo zaidi matumbo joto
Mzee umepatia mule mulee agiza Pepsi bigi kwa mangi
 
Kesho namngojea maulidi baraka wa kitenge akisoma kwa mbwembwe magazet
 
TANZANITE
Mwanzo wa mwisho wa CCM.
UHURU Mpasuko ndani ya chama chetu
TANZANIA DAIMA Waziri mkuu apokea treni
MTANZANIA Mtatiro juu wana Lumumba waendelea kuimba pambio
Mazezeta meno nje ubatizo wa makamba
 
1:February akiona cha mtema Kuni
2:Jiwe amuonesha kigogo kilichomtoa kanga manyoya
 
1:Aliepiga Marufuku Matumizi ya plastiki nayeye apigwa marufuku.
2:Mifuko ya Rambo yamlaani February.
 
Back
Top Bottom