Tabiri yatakayotokea Mei Mosi 2024 Arusha

Tabiri yatakayotokea Mei Mosi 2024 Arusha

Binafsi Kucheleweshea mtu mafao yake naona kama kosa la jinai
kwa nini hiyo mifuko isiweke nyaraka zote za mwanachama kwa Data base wakati wa kujiunga/au akiendelea kufanya kazi ili akistaaf atakiwe kwenda tu na barua ya Shrika/taasis ili alipwe mafao yake...
Hili nalo linahitaji wazungu watushauri/watuelekeze?

Wakielekeza tu kila ofisi ya Mkoa ikusanye taarifa hizo kutoka kwenye mashirika pengine yalio ajiri kuanzia watu 100 na kuendelea; wanaweza kukamilisha zoezi ndani ya mwaka mmoja pengine Dar pekee ndiyo itahitaji miaka miwili. Baada ya hapo wana weza kuanza walio ajiri kuanzia 50 hadi 100 etc
KINACHOFANYIKA SASA HIVI NI SAWA NA UCHELEWESHAJI ULIOKUSUDIWA!

TATIZO LA WASOMI WETU (sio wote) HAKUNA WALICHOPATA VYUONI ZAIDI YA KUJIFUNZA KUKOPY NA KUPASTE WANACHOFANYA WAZUNGU! HAKUNA UBUNIFU WOWOTE!!!
 
UTABIRI UME TICK 90%
.KIKOKOTOO NDO HICHO TICK
. INCREMENTS TICK
. MAKONDA KUTREND TICK
.N K
 
Back
Top Bottom