Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 225
- 139
Forex ndio nini mkuu.Ikoje hio kituunataka ukadeposit forex utaliwa fanyeni kazi za kuonekana vijana forex mtakuwa wezi sio muda ukianza kuuza godoro nistue
Nitatumia pesa
π€£ π€£ π€£ π€£ π π π πunataka ukadeposit forex utaliwa fanyeni kazi za kuonekana vijana forex mtakuwa wezi sio muda ukianza kuuza godoro nistue
hapana boss,uko chini sana.Ongeza dau boss.
2MP, 1600x1200
Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo.
Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
View attachment 1316156View attachment 1316157View attachment 1316158View attachment 1316159View attachment 1316160View attachment 1316161View attachment 1316163