Tablets,s3, s4, s5

Tablets,s3, s4, s5

zoeman

Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
47
Reaction score
2
Habarini ndugu zangu, kwa upendo tu, naomba mnijuze kati ya tablets, s3, s4, au s5 n ipi kat ya hz zinazohitajika na kupendwa sana na watu. Nina mpango wa kuanza kuagiza bidhaa za nama hiyo na kuuza hapa hapa jamvini, ila kwanza ningependa kujua soko linataka nn? Kabla sijaanza kuagiza, msaada wenu tafadhali!!!!!
 
Back
Top Bottom