The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo,ndug. Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Matanda, kata ya Kigwa Wilaya ya Uyui, Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora, Ndug. James Erick Kabepele ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora.
Kijiji hiki Mgombea wa ACT Wazalendo alienguliwa, ACT wazalendo wameamua kumuunga Mkono Mgombea wa Chadema. Pia Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa ACT Wazalendo Kijiji cha Kigwa B, kata ya Kigwa ,Jimbo la Igalula, Wilaya ya Uyui -Mkoa wa Tabora ndug.Said Hussein Iddi ambaye pia anaungwa mkono na wanachama wa CHADEMA baada ya Mgombea wa Chadema kuenguliwa Kijiji cha Kigwa B.
Chanzo: CgFM