Tabora: Ajichoma kisu na utumbo kutoka nje kisa mapenzi

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

​
Mwanamke mwenye umri wa miaka 31, mkazi wa kata ya Cheyo, manispaa ya Tabora anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uangalizi wa matibabu baada ya kujaribu kuijua kwa kujichoma kisu tumboni kufuatia mgogoro wa kimapenzi.

Tukio hilo lilitokea Aprili 7, 2026 majira ya saa 9 mchana katika eneo la Cheyo ambapo mwanamke huyo ambaye jina halijatolewa alijichoma kisu tumboni na kwa mujibu wa kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Richard Abwao chanzo cha tukio hilo ni ugomvi uliotokea kati yake Mwanamke na mpenzi wake ambaye ni mwanaume wa miaka 33 anayejighulisha na biashara ya bodaboda katika eneo hilo.

Polisi wamesema uchunguzi unaendelea huku wakitoa wito kwa wananchi kutafuta msaada wa ushauri wa kutatua migogoro kwa njia sahihi ili kuepusha matukio kama haya.
 
Mapenzi mapenzi mapenzi🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Aikoo, Akifanyiwa interogation na WP Katili atatamani Bora zoezi lake ingekamilika. Mvinyo ni muhimu
 
Kataa ndoa tushawasili:ndoa ni mateso ambayo unajitakia,ndoa n mateso tunaikataa kamwe.hatuoi na hautuolewi
 
Dah aisee mapenzi haya ogopa sana kufosi mapenzi
Ndoa saiv n laana hamna bikra n uchafu tu,atanashangaa wengine wanajisifu wameoa,na n matobo yaliyopitwa na wahun,mkojo wenyewe ukitoka utafikiri ni mtaro wa maji
 
Yaani amejaribu kujiua mara ya pili sasa.

Huyo anahitaji mental rehabilitation therapy kabla hajaja kufanya tukio moja la kikatili sana.
 
Back
Top Bottom