Tabora akiifunga Simba kwa heshima na tahadhima naomba ban ya mwaka

Vice J

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
530
Reaction score
766
Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao.

Referee ni yule yule Rose Mhando

Hawana fitness ya kueleweka

Rage yupo kwenye kamati kuu

Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa

Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
 
Malengo ya Tabora United yameshatimia. Leo point zote atapewa simba ili aendelee kuongoza ligi.
 
Full time CHRISTINA KAMDOMO 0 - 3 TATU MILONGO
 
Kelele zote na malalamiko na refa Amina Kyando akabadilishwa baada ya Tabora United na Gongowazi kulalamika.Akaletwa refa Kyomo kutoka Mbeya bado Tabora United wakala chuma 3.
Mtalalama sana na timu bado inajengwa sasa hivi ndiyo asilimia 37 ya uwezo Kocha Fadlu anaoutaka ndio umefikiwa
 
Tabora asingeweza kuifunga simba kwa namna yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…