😂😂😂😂😂👏Kama hamuwezani si mnaachana tu
Kuna demu kashanzaa kuniletea pigo za " nikikukuta na mtu ndani tusilaumiane "
Hapa ni kuama pango tu
Kama hamuwezani si mnaachana tu
Kuna demu kashanzaa kuniletea pigo za " nikikukuta na mtu ndani tusilaumiane "
Hapa ni kuama pango tu
Mwanaume amejiua kwa kunywa sumu.Kuhusu mke hujaeleza kuwa alivyochomwa visu alikufa au alinusurika.Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemchoma visu mke wake na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja ,mtuzike pamoja"
Marehemu huyo aliyefahamika kwa jina la ISSAH SELEMANI amemchoma kisu aliyekuwa mke wake Mariam Nasoro ambapo Mwenyekiti wa kitongoji cha MASWANYA Songa Juma amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Chanzo: CG FM Tabora
Aisee saa zingine hawa wanawake wawe wanasoma upepo na kurudi kwao.
Bora akajiuze kuliko kuuliwa
Naumia kusikia mtu kamuua mtu kwa sababu ya mapenzi
Usaliti upeleke kuua huo ni ujingaJiandae na wewe. Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama
Hapana sio watoto bwana. Hawa wanashindwa kuondokankwa sababu ya kupenda kuhudumiwa tuu. Mwanamke ambae anajimidi finacially ataondokanfasta tuu na anabeba na watoto wake. Ma superwoman ni wachache sana, wengi ni wannawake tegemeziSio mapenzi,wanawake wengi husingizia watoto.Hivyo watoto ndio husababisha vifo vya wanawake.
Maranyingi Kama mwanamke hujazaanae mkizinguana nirahisi kuondoka zake.