JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Waislam nao mapenzi yanawatesa kumbe.Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemchoma visu mke wake na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja ,mtuzike pamoja"
Marehemu huyo aliyefahamika kwa jina la ISSAH SELEMANI amemchoma kisu aliyekuwa mke wake Mariam Nasoro ambapo Mwenyekiti wa kitongoji cha MASWANYA Songa Juma amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Chanzo: CG FM Tabora