Waislam nao mapenzi yanawatesa kumbe.Mwanaume mmoja wilayani URAMBO Mkoani Tabora amemchoma visu mke wake na kisha kujiua kwa kunywa sumu na kuacha ujumbe wa barua kwa familia ya mke wake. "Nilimuoa siku moja na tutakufa siku moja ,mtuzike pamoja"
Marehemu huyo aliyefahamika kwa jina la ISSAH SELEMANI amemchoma kisu aliyekuwa mke wake Mariam Nasoro ambapo Mwenyekiti wa kitongoji cha MASWANYA Songa Juma amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Chanzo: CG FM Tabora
Ngoja waje kukushambulia wanaotupinga RC kwa msimamo wa kutowafanyia ibada za mazishi baadhi ya watuKuna watu wanastahili kutozikwa....maybe hilo likianza wafanyika watapata akili....kuwe tu jalala la kutupa miili ya watu wanaofanya mauaji kama haya....
Sasa mtu kama huyo unamuombea vipi???....Ngoja waje kukushambulia wanaotupinga RC kwa msimamo wa kutowafanyia ibada za mazishi baadhi ya watu
Hapana bana, mtoto asiwe tatizo.Sio mapenzi,wanawake wengi husingizia watoto.Hivyo watoto ndio husababisha vifo vya wanawake.
Maranyingi Kama mwanamke hujazaanae mkizinguana nirahisi kuondoka zake.
Msipomzika muhusika, jiandaeni kuivumilia harufu kali ya maiti yake huko majalalani.Kuna watu wanastahili kutozikwa....maybe hilo likianza wafanyika watapata akili....kuwe tu jalala la kutupa miili ya watu wanaofanya mauaji kama haya....
Yanatengwa majalala special...Msipomzika muhusika, jiandaeni kuivumilia harufu kali ya maiti yake huko majalalani.
Kama ni kutoa fundisho hakuna haja ya kuwa na majalala special bali watupwe tu kama hizo takataka za jalalani. Lakini je hapo tunamwadhibu Nani kwa kufanya hivyo? Kumbuka mhusika ana ndugu, jamaa na marafiki.9
Yanatengwa majalala special...
Kama unaabudu, hizo ndizo dalili za kiama!Hizi habari wala hata sio ngeni ni vile tu siku hizi kumekuwa na urahisi wa habari kupatikana mtandaoni na kuenea kwa uharaka zaidi.
Ila inasikitisha sana kukatisha maisha ya mwenzako kisa kufata hisia zako tu
"Nilimuoa siku moja,tutakufa pamoja na mtuzike pamoja"Mwanaume amejiua kwa kunywa sumu.Kuhusu mke hujaeleza kuwa alivyochomwa visu alikufa au alinusurika.
Na yule aliyemkaza mama yake Tarime alikuwa dini gani? Acha ufalaWakina Mohammed nini kimewapata?
Na sifa za kijingaWakina Mohammed nini kimewapata?
Umemaliza,tatzo kubwa ni njaa hakuna cha watoto wala nini kwanza mwanamke akiwa vzr kiuchumi anakuwa jeuri humbabaishi anabeba wanae atawalea peke yake ila ramani ikiwa haisomi utampiga umuue hatokiiiiiHapana sio watoto bwana. Hawa wanashindwa kuondokankwa sababu ya kupenda kuhudumiwa tuu. Mwanamke ambae anajimidi finacially ataondokanfasta tuu na anabeba na watoto wake. Ma superwoman ni wachache sana, wengi ni wannawake tegemezi