Sehemu zote alizokaa mwarabu hakuna maendeleo mfano Bagamoyo,Tabora,Tanga,Lindi,Mtwara.Huko aliacha Elimu Ahera na misikiti tuu.
watu wengine unasifia ujingashule iliyoongoza kitaifa mitihani ya form 6 inatokea bagamoyo
watu wengine unasifia ujinga
Shule iliyoongoza kitaifa mitihani ya form 6 inatokea bagamoyo
Sasa hivi nitaambiwa nimetukana.
Hivi, vyuo hujengwa kwa kuwa watu wameamua kutoa kipaumbele au kwa kuwa mahitaji yameonekana? Na kwa nini basi uhoji kuhusu vyuo, niambie ni nini kilichowahi Tabora.
Hayo maswali yako ungemuuliza Rage. Nyerere kusoma hapo hakumaanishi angejenga chuo porini. Mkoa usio na sekondari unaujengea chuo kikuu ili wasome njiwa au nyuki?
Wananchi wa huko wamelala dorowana jf,mpaka sasa tbora kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni SAUT TABORA kilichoanzishwa 2010 na teofilo kisanji 2012.sasa je kwanini mkoa mkongwe kama huu haukupewa kipaumbele wakati wasaomi wengi kama j.k nyerer,sitta,lowasa n.k wamesoma hapa?
Teh teh teh wakwere wajenge nyumba nzuri? Wakwere waulize kuhusu ngoma na shuhuri usiulize maendeleomarian!!?? ya wakwere ile kwani? watu wa bara ndio wako kibao pale, nimeish bm kwa zaidi ya miaka 7 sasa, hata maendeleo na vijumba vizuri unavyoviona pale si vya wazawa, wenyewe washauza na wanazudi kuzama maporini
Shule iliyoongoza kitaifa mitihani ya form 6 inatokea bagamoyo
Teh teh teh wakwere wajenge nyumba nzuri? Wakwere waulize kuhusu ngoma na shuhuri usiulize maendeleo
wana jf,mpaka sasa tbora kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni SAUT TABORA kilichoanzishwa 2010 na teofilo kisanji 2012.sasa je kwanini mkoa mkongwe kama huu haukupewa kipaumbele wakati wasaomi wengi kama j.k nyerer,sitta,lowasa n.k wamesoma hapa?
ni ya kikristo