tabora:kwanini vyuo vikuu vimechelewa kuanzishwa?

kapya

Senior Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
153
Reaction score
54
wana jf,mpaka sasa tbora kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni SAUT TABORA kilichoanzishwa 2010 na teofilo kisanji 2012.sasa je kwanini mkoa mkongwe kama huu haukupewa kipaumbele wakati wasaomi wengi kama j.k nyerer,sitta,lowasa n.k wamesoma hapa?
 
Sasa hivi nitaambiwa nimetukana.

Hivi, vyuo hujengwa kwa kuwa watu wameamua kutoa kipaumbele au kwa kuwa mahitaji yameonekana? Na kwa nini basi uhoji kuhusu vyuo, niambie ni nini kilichowahi Tabora.

Hayo maswali yako ungemuuliza Rage. Nyerere kusoma hapo hakumaanishi angejenga chuo porini. Mkoa usio na sekondari unaujengea chuo kikuu ili wasome njiwa au nyuki?
 
Sehemu zote alizokaa mwarabu hakuna maendeleo mfano Bagamoyo,Tabora,Tanga,Lindi,Mtwara.Huko aliacha Elimu Ahera na misikiti tuu.
 
watu wengine unasifia ujinga

marian!!?? ya wakwere ile kwani? watu wa bara ndio wako kibao pale, nimeish bm kwa zaidi ya miaka 7 sasa, hata maendeleo na vijumba vizuri unavyoviona pale si vya wazawa, wenyewe washauza na wanazudi kuzama maporini
 
Vijana woote wanaosoma sekondary na vyuo vya Tabora si wakazi wa mkoa huo,wanatoka pande zote za Tanzania,sasa kwa sababu karibu kila kanda kuna chuo kikuu,Tabora itakosa vijana wa kuijaza nafasi za chuo kikuu,kwa hizo 2 zilizopo zinawatosha sana wakaazi wa Tabora maana mji mgumu kidogo kujaza watu wengi huku huduma zikiwa hakuna (Maji) na nyumba.....na walimu piaa ni issue sana sababu ya usafiri kuwa wa shida (barabara mbovu kwenda nzega) train ndio hivyo!
 
Sasa hivi nitaambiwa nimetukana.

Hivi, vyuo hujengwa kwa kuwa watu wameamua kutoa kipaumbele au kwa kuwa mahitaji yameonekana? Na kwa nini basi uhoji kuhusu vyuo, niambie ni nini kilichowahi Tabora.

Hayo maswali yako ungemuuliza Rage. Nyerere kusoma hapo hakumaanishi angejenga chuo porini. Mkoa usio na sekondari unaujengea chuo kikuu ili wasome njiwa au nyuki?

Kaaazi kweli kweli!
 
wana jf,mpaka sasa tbora kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni SAUT TABORA kilichoanzishwa 2010 na teofilo kisanji 2012.sasa je kwanini mkoa mkongwe kama huu haukupewa kipaumbele wakati wasaomi wengi kama j.k nyerer,sitta,lowasa n.k wamesoma hapa?
Wananchi wa huko wamelala doro
 
marian!!?? ya wakwere ile kwani? watu wa bara ndio wako kibao pale, nimeish bm kwa zaidi ya miaka 7 sasa, hata maendeleo na vijumba vizuri unavyoviona pale si vya wazawa, wenyewe washauza na wanazudi kuzama maporini
Teh teh teh wakwere wajenge nyumba nzuri? Wakwere waulize kuhusu ngoma na shuhuri usiulize maendeleo
 
afadhari kwenu vimechelewa kwingine hamna kabisa hata VETA
 
wana jf,mpaka sasa tbora kuna vyuo vikuu viwili ambavyo ni SAUT TABORA kilichoanzishwa 2010 na teofilo kisanji 2012.sasa je kwanini mkoa mkongwe kama huu haukupewa kipaumbele wakati wasaomi wengi kama j.k nyerer,sitta,lowasa n.k wamesoma hapa?

Muulize sheikh ponda, prof lipumba, maalim seif na jk
 
hivi Teofilo Kisanji kinastahili kuwa chuo kikuu? maaana naona wamechukua iliyokuwa Diamond Cinema
 
Tabora ndiyo mkoa wa kwanza kuwa na special school tanzania
 
Mbinu mbovu za kiongozi wa wakati huo ndizo zilizopelekea maeneo ya pwani mengi kutokuwa na maendeleo ingawa maendeleo yamezaliwa huko ikumbukwe kilwa ndo mji wa kwanza kutumika pesa
 
Back
Top Bottom