GE2025 Tabora: Majeshi ya Ulinzi na Usalama yafanya matembezi ya pamoja ‘kuimarisha mshikamano na nidhamu’

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora.

Lengo la matembezi hayo ni kuweka utimamu wa mwili, kuimarisha mshikamano, nidhamu na ushirikiano baina ya majeshi husika pamoja na kuwa karibu na jamii.
1761302735222.png

1761302760692.png

1761302784625.png
 
Wajiandae tu, maana kila nikipita huko kwenye mitandao nasikia watu wanahamasisha.vijana kupiga moto nchi yenyewe
 
🔥🔥 Familia
Hatutishiki aseee
 
Huu umoja wa vyombo vya ulinzi na usalama kipindi hichi umekuwa mkubwa sana, ni aina ya vitisho fulani hivi kuelekea Oktoba 29 baada ya hapo hatutayaona tena haya matembezi
==============
Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora.

Lengo la matembezi hayo ni kuweka utimamu wa mwili, kuimarisha mshikamano, nidhamu na ushirikiano baina ya majeshi husika pamoja na kuwa karibu na jamii.

Screenshot 2025-10-24 190637.png
Screenshot 2025-10-24 190646.png
Screenshot 2025-10-24 190656.png
Screenshot 2025-10-24 190706.png
 
Hata baada ya Uchaguzi tunataka tuone huu mwendelezo wa Mazoezi ya Pamoja ya utimamu
 
Jeshi limeapa kutogeuza mitutu yake kwa raia wa Tanzania
 
Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora.

Lengo la matembezi hayo ni kuweka utimamu wa mwili, kuimarisha mshikamano, nidhamu na ushirikiano baina ya majeshi husika pamoja na kuwa karibu na jamii.

Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora.

Lengo la matembezi hayo ni kuweka utimamu wa mwili, kuimarisha mshikamano, nidhamu na ushirikiano baina ya majeshi husika pamoja na kuwa karibu na jamii.
Hongera sana Mange Kimambi kwa kuwaandamisha hawa vilaza wanaotumika kuwalinda mafisadi wa CCM
 
Hawa tutawageuza mboga kuanzia tarehe 28.. Kwanza tutawarushia mapepo ya ushoga ili kazi iwe rahisi kabisa
 
Back
Top Bottom