GE2025 Tabora: Mgombea udiwani awaahidi wananchi kupata maji bure kwa miezi mitatu

GE2025 Tabora: Mgombea udiwani awaahidi wananchi kupata maji bure kwa miezi mitatu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mgombea Udiwani kata ya Kidongochekundu Manispaa ya Tabora Mateleka Feruzi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata hiyo uliofanyika leo Oktoba 5,2025 amsema kuwa endapo akichaguliwa kuwa Diwani wa kata hiyo Wananchi watachota Maji bure kwenye Gati la Maji kwa miezi mitatu bure.

Mateleka ameeleza kuwa Pamoja na changamoto nyingi katika kata hiyo endapo atachaguliwa atarekebisha Barabara za mitaa ya kata hiyo.


 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa wao na mali zao tupo nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom