Nchi nyingi kusoma na kuandika kwa ufasaha ni changamoto, na kumbuka hiyo ni taaluma pia.Hao wasiojua kusoma. Ila wasiojua kusoma na kuandika kwa ufasaha nchi hii wanaweza kuzidi hata 70%
Nadhani wenye mamlaka ndiyo wanapaswa kulaumiwa kwanza, halafu Sasa tunakuja Kwa mtu mmoja mmoja 🤔 auNi nani katufikisha hapa kama Taifa, ndio alaumiwe.
tambua Chanzo Cha Matatizo ( zingatia herufi za mwanzo )Ni nani katufikisha hapa kama Taifa, ndio alaumiwe.