evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Ni kweli Mimi ni layman wa mambo ya laboratory.Umehoji kilayman I can tell ulivoongelea Habari za MSD na wewe ni layman unakataa nini?
Kwamba huwa kila mara wana argue hivyo hivyo word to word. Kwenye same location and same dressing code. Come on!!!Inawezekana aliyerekodi asijulikane. Hao waliorekodiwa inawezekana walikuwa hawajui kama wanarekodiwa.
Kwamba ni kawaida yao kuwa na mazungumzo kama hayo.
Unaweza ukarekodi kitu na kikarushwa hewani na mtu mwingine wa mbali huko Kwa kutumia deep web, nakwambia huwezi kumtambua.
Watanzania wengi ni wajingaUkisoma watu wanavyotoa mawazo yao hapa, utagundua kuwa Tanzania tuko na tunaelekea kubaya. Watu wanatetea kutumia vitu vilivyoisha muda wake waziwazi. Watu wanamkashifu aliyefichua maovu?
Huyo muuguzi hana kosa maana lliyetoa idhini ya mrdt kits kutumika ni Incharge lazima maswali yaanzie hapo.Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.
Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.
Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Ethics za mak*lio yako?! Yaan anataka kuoima watu kwa vipimo vilivyo expire halafu aachwe tu πππHuyu dada atapandishwa cheo.Aliyemrekodi atasomeshwa namba.ETHICS ETHICS ETHICs ethics
Hajavuka mstari Ukiona unatetea kitendo cha huyo jamaa jua kabisa na wewe hauko Sawa kwenye utendaji wako.. Yani upo saresare na huyo mpuuzi..Mkuu,kwa ninavyofahamu ,aliyemrekodi amevuka mstari alipoipost hii video hapa.Hawa wote ni watumishi wa umma
Inasikitisha sana kunawatu unaweza Sema waliozaliwa chooni vile Wana akili chafu zilizo jaa uozo.. Yani dawa ilivyo expire akipewa mama yako au Mkeo huko mbeleni utasema ni casual??Watanzania tumeshindikana hadi makosa tunaona ni kawaida.
Waelekeze kuna watu hawajui chochote kuhusu afya huko makazini af wanakuja kuongea vitu wasivojua
Wacha we!...kwamba ni kawaida
Sio kawaida kaka ni makosa,,,
kaka usiwaambie chochote unapoteza tu nguvu zako kuna watu humu hawajui chochote yan unappSo kuepuka hizi namtoboa nampima yawezekana nsisome hata kipimo (najua tyr ana malaria ) nampa ALU anaondoka ameridhika anaenda anakunywa na anapona akija next time atataka anipe takrima ntamkatalia sabab najmume lofa
naww katibiwe nje kama una uwezo huo?yan huku kunaitwaWajinga sana hao majamaa,
Ndio maana mabosi zao wakiumwa wanaenda kuibiwa nje kwani wanajua maujingaujinga yao kama haya
HaHuyo muuguzi hana kosa maana lliyetoa idhini ya mrdt kits kutumika ni Incharge lazima maswali yaanzie hapo.
Mwisho wa siku sijajua hapo ni nursing station au lab ili nijue nani alimfuata mwenzake ofisini na kuanza kumwambia yeye Hatumii mrdt zilizoexpire swali lakujiuliza...
Mpaka incharge wa kituo anatoa hili tamko huyu jamaa wa tughe alikuwa wapu hadi kuja kupoteza muda kuanza kuzuzana na Muuguzi.
Na Pia kingine kazjni kuna kitu Kinaitwa Inter na intra personal conflict naona ndo kitu kilichopo hapo na ndo maana huyo dada kaamua kumtolea shit huyu jamaa...
So ukiacha unafiki na kuangalia pande zote mbili lazjma ujue kuna minzani ya kuangalia kabla ya kuanza kumsagia huyo
Hapa kuna tatizo kubwa zaidi ya hilo mliloshikia bango. My conviction dawa kuexpire ni lazima mkuu wa kituo anajua, kama kuadhibiwa huyu ndio anastahiki adhabu kubwa na pengine ndio anayempa jeuri huyu nurse kujibu hovyo.
Sawa waziri wa afyaKwahiyo kama hufanyi kazi hupaswi kuuliza,kwa sababu hatupo kwenye afya hatuoni mabaya yakitendeka,Watanzania tunapenda sana kutetea vitu kama huyo kakosea awajibishwe sio lazima afutwe kazi kuna njia nyingi sana na awe accountable na kile afanyacho and by the way course ya afya ni muhimu kama zilivyo kada nyingine hamna aliye juu kuliko.
Huyu mshkaji boya sna alieipost nahis ana sababu nyengine binafsi yakufanya hivo
Hayo mambo vituoni nikawaida mabishana ya maneno makali na kutaniana
Utupe mrejesho kilichoendeleaHuyu dada ni Mtumishi wa Zahanati ya Ishishimulwa, Ipo Wilaya ya Uyui Mkoa Tabora.
Tayari Mamlaka ziko Kituoni muda huu kulifanyia kazi hili swala.
Nadhani itakuwa fundisho kwa wengine.
Huyo nesi akipewa hela azidishe madawa mgonjwa afe unadhani anashidwa huyu..Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.
Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.
Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Haina shida.... Nitawapa Update.Utupe mrejesho kilichoendelea
Bado na ww ni layman kwenye hiyo medicine yako...huwezi kutetea ujinga kama huuSasa kwanini ulikasirika kuitwa layman mkuu wakati hata mm ni layman kwenye vyote isipokua medicine?